BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameaga dunia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ameaga Dunia
Sikiliza, Je, Mama Samia anatakiwa kuapishwa lini kuwa rais Tanzania?, Muda 2,48
Hii ni mara ya kwanza kwa nchi ya Tanzania kufiwa na rais akiwa madarakani na makamu wake kuchukua nafasi.
Sikiliza, Tuna imani na Samia Hassan Suluhu, Muda 4,09
Jaji mkuu mstaafu mzee Joseph Sinde Warioba ameiambia BBC ana imani na Mama samia
Moja kwa moja Kifo cha Rais Magufuli: Wanyarwanda wako pamoja na Tanzania wakati huu mgumu
Dunia yaomboleza kifo cha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli.
Wafahamu viongozi wa Afrika waliofariki madarakani
Ni nadra kwa kiongozi wa nchi yoyote kufariki akiwa angali madarakani. Katika kipindi cha miaka 20 iliopita mkosi huo umeathiri mataifa mengi barani Afrika .
Je, Katiba ya Tanzania inatoa mwongozo gani anapofariki Rais?
Mama Samia atakuwa rais wa sita wa Tanzania na wa pili kutokea upande wa Zanzibar.
Je, Samia Suluhu Hassan ni nani?
Hii ni mara ya kwanza kwa nchi ya Tanzania kufiwa na rais akiwa madarakani na makamu wake kuchukua nafasi.
Video, Jinsi Rais Magufuli anavyokumbukwa katika kijiwe cha kahawa alichokuwa akienda, Muda 0,54
Rais John Magufuli anavyokumbukwa katika kijiwe alichokuwa anakunywa kahawa mkoani Geita.
Namna 'tingatinga' John Magufuli alivyoiongoza Tanzania kwa miaka sita
Alisifika kwa ukali wake dhidi ya rushwa, lakini mwisho wake umegawa maoni juu ya namna alivyolishughulikia janga la corona.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 17.03.2021
Kuna uwezekano mkubwa Cristiano Ronaldo, 36, akarejea tena Manchester United kuliko Madrid akiamua kuondoka Juventus msimu huu.
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 16.03.2021
Tottenham na Chelsea wanapania kumsajili mshambuliaji wa Argentina Paulo Dybala, 27, kutoka Juventus. (France Football, via Sport Witness)
Pele ampongeza Ronaldo kwa kuweka 'rekodi' ya ufungaji mabao
Pele amempongeza Cristiano Ronaldo baada ya hat-trick ya mshambuliaji huyo wa Ureno dhidi ya Cagliari kumfanya afunge mabao zaid ya mchezaji nguli wa katika mechi rasmi.
Jinsi LeBron James anavyobadili sura ya mpira wa kikapu duniani
James, katika msimu wake wa 18 wa NBA, alikuwa ametimiza miaka 36 wiki mbili mapema. Walakini anaonekana kuwa na raha zaidi kuliko hapo awali, na bado anatesa katika ligi nzima
Simba kucheza bila ya mashabiki Dar es Salaam
Klabu ya Simba SC ya Tanzania itacheza mchezo wake wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al Merrikh bila ya mashabiki kuhudhuria mchezo huo utakaochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumanne, Machi 16
Motsepe na virusi vinne vinavyomkabili CAF
Baada ya Motsepe kuibuka kuwa mshindi wa urais katika Uchaguzi ambao ulienda sambamba na Mkutano Mkuu wa CAF, kutokana na yeye kuwa mgombea pekee wa nafasi hiyo jambo lililowafanya wajumbe kumpigia kura za ndio au hapana tu.
Video, 'Tusiogope kila mmoja atakufa hata mimi nitakufa', Muda 0,59
Hayati Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akitoa hotuba katika moja ya kanisa katoliki ambalo alikuwa anasali.
Video, Wakazi wa Chato wamuomboleza Rais Magufuli, Muda 3,03
Wakazi wa mjini Chato ambapo ndipo anapotoka aliyekuwa rais wa Tanzania John Magufuli waelezea jinsi taarifa za msiba huo zilivyowashtua.
Video, Tanzia ya Rais John Pombe Magufuli, Muda 5,18
Mtoto wa mkulima, John Pombe Magufuli alichukua hatamu kama rais wa Tanzania kwa mara ya kwanza siku aliyotimiza miaka 56.
Video, 'Usinione mpole nina ujasiri', Muda 3,04
Jifahamishe kuhusu kazi na maisha ya makamu wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kama mwanamke aliye uongozini
Sikiliza, DRC yasitisha kutoa chanjo ya AstraZeneca, Muda 2,02
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeahirisha kampeni ya kutoa chanjo ya corona iliyokua ianze leo Jumatatu kwa hofu ya usalama wake.
Video, 'Maumivu ya kupoteza mapenzi na uhuru', Muda 10,08
Simulizi ya mahabusu aliyepoteza mapenzi na uhuru wake.
Video, Jinsi Tai wenye ndevu wanavyoangamia barani Afrika, Muda 4,21
Kati ya tai 11 wanaopatikana barani Afrika , saba wapo katika hatari ya kuangamia . Nchini Kenya spishi moja – ya tai wenye ndevu – imesalia na tai watano kulingana na wahifadhi w
Video, 'Nilisikia tunaweza kugawana figo nikapata ujasiri wa kuokoa maisha ya kaka yangu', Muda 2,17
Leo ni siku ya figo duniani,watu huangalia changamoto zinazowakabili wagonjwa na kusahau ndugu waliochangia figo na kuokoa maisha ya wapendwa wao.
Taarifa kuhusu Coronavirus
Madhara unayoweza kupata kwenye chanjo ya corona
Kupata athari mbaya baada ya kupata chanjo dhidi ya corona ni kawaida na inaweza kuwa ishara kwamba chanjo inafanya kazi.
Video, Barakoa mbili: Je tunapaswa kuzitumia?, Muda 1,41
Baadhi ya nchi zinashauri watu wavae barakoa mbili- moja juu ya nyingine, lakini je tunapaswa kuvaa barakoa zaidi ya moja?
Mambo 4 tusiyoyajua kuhusu chanjo ya virusi vya corona
Wakati baadhi ya maeneo mbalimbali dunia yakiwa tayari yamenza kutoa chanjo kwa watu wake dhidi ya virusi vya corona, bado mambo mengi yahahitajika kufahamika kuhusu jinsi gani chanjo hizo zitafanya kazi.
Je unaweza kuugua baada ya kupata chanjo ya Corona?
Zaidi ya mtu mmoja kati ya watu 10 anaweza kuhisi adhari baada ya kuchanjwa, ikiwa ni pamoja na maumivu ya kichwa, uchovu na kuvimba sehemu ulipochomwa sindano ya chanjo.
Taifa linalosema kwamba virusi vya corona sio tatizo
Mamlaka nchini Tanzania haijachapisha data za maambukizi ya virusi vya corona kwa miezi mingi.
Mambo nane tuliojifunza ndani ya mwaka mmoja wa janga la corona
Mwaka mmoja uliopita , Covid-19 ilileta maswali mengi yasiyo na majibu kuhusu virusi visivyo julikana. Miezi kumi na mbili baadae wanasayansi wamekuja na majibu muhimu kuhusu janga hilo la corona.
Kwanini baadhi ya watu hupata corona kati ya dozi ya kwanza na ya pili ya chanjo
Muuguzi Maria Angélica Sobrinho, 53, alikuwa wa kwanza kupata chanjo dhidi ya virusi vya corona katika mji wa Bahia nchini Brazil. Siku chache baadaye, akaanza kuonesha dalili za corona na alipopimwa akapatikana na maambukizi ya ugonjwa huo.
Fahamu viongozi wa Afrika waliochanjwa chanjo ya corona
Baadhi ya marais wa Afrika wamekuwa wakipokea chanjo ya corona wazi, huku wakionekana moja kwa moja kwenye televisheni, ili kuonyesha mfano kwa raia wa nchi zao na kuondoa hofu kuhusiana na chanjo ya corona.
Fahamu habari njema 10 kuhusu corona
Mwaka mmoja uliopita niliandika makala juu ya vipengele 10 ambavyo ni taarifa njema juu ya virusi vya corona lengo likiwa ni kuonesha sayansi, ufahamu wa janga hili na ushirikiano ni muhimu katika kukabiliana nalo.
Aina mpya ya virusi vya corona: Je, tunajua nini?
Aina mpya ya virusi vya corona imekuwa ni ya kawaida ya virusi katika maeneo ya Uingereza
Haba na Haba Redio
Sikiliza, Tanzania: Changamoto kwa watu walemavu kupata mkopo, Muda 29,03
Halmashauri zote nchini Tanzania zinapaswa kutenga asilimia mbili ya mapato yake kwa ajili ya walemavu.
Sikiliza, Ni kwa namna gani uwepo wa sheria ya umiliki wa ardhi inamuwezesha mwanamke kupata haki hiyo?, Muda 29,09
Serikali inafanya nini kuhakikisha sheria ya umiliki wa ardhi inawafaidisha wanawake.
Global Newsbeat
Sikiliza, Babu anayeweza kusakata densi mjini New York, Muda 2,02
Babu mwenye umri wa miaka 89 huko New York anayependa kusakata densi, Robert Holzman amepokea chanjo dhidi ya corona mapema ili aweze kuendeleza talanta yake ya kudensi.
Tuzo za Grammy 2021 katika picha
Wasanii wakiwa katika kapeti jekundu wakati wa tuzo za Grammy.
Habari katika picha wiki hii
Baadhi ya picha zilizopigwa barani Afrika wiki hii
Dira TV
Video, Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 17/03/2021, Muda 25,47
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 17/03/2021 na Esther Kahumbi
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 19 Machi 2021, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Listen Live, Dira Ya Dunia, 18:29, 18 Machi 2021, Muda 1,30,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 18 Machi 2021, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 18 Machi 2021, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Gumzo mitandaoni
Mabaki ya kipekee ya Biblia yapatikana Israel
Mabaki ya machapisho ya Biblia ya kale yamepatikana katika kile maafisa wametaja kuwa "uvumbuzi wa kihistoria" katika mapango ya jangwani nchini Israel.
Fahamu sababu za nywele kudondoka na tiba yake
Kudondoka kwa nywele kwasababu ya virusi vya corona kawaida huwa ni kwa muda tu.
Je Marekani na China wako kwenye vita baridi'?
Mvutano kati ya mataifa yenye nguvu duniani yakiwa yanatarajia kukutana Alaska, je mvutano wao unaelekea ukingoni?
Kutoka maisha ya ufukara hadi kuwa milionea
Zahra Datani ni mwanamke ambaye amefanikiwa kujiinua kutoka maisha ya ufukara hadi kupata utajiri kujitegemea na hata kuwasaidia wengine
'Nilibaini mume wangu anatengeneza picha za ngono'
Watu wanaombwa kubaini ishara za familia wao zinazoonesha kwamba wanatazama picha za ngono mitandaoni.
Fahamu umuhimu wa nywele katika sehemu tofauti za mwili
Nywele hujitokeza katika sehemu tofauti katika mwili wa mwanadamu na faida zake hutegemea sehemu inazojitokeza mwilini kulingana na tafiti kadhaa.
Kanisa katoliki haliwezi kubariki ndoa za wapenzi wa jinsia moja
Vatican imesema haiwezi kubariki 'dhambi', katika taarifa iliyoidhinishwa na Papa Francis.
Magari yauziwa maji badala ya mafuta Nigeria
Video ya kituo kimoja cha Mafuta cha Fatgbems nchini Nigeria imesambazwa sana katika mitandao ya kijamii kwa kuuza maji badala ya Mafuta ya petroli kwa wateja wake.
Dada yake Kim Jong-un aitaka Marekani isilete 'mtafaruku'
Dada yake kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ameionya Marekani kutosababisha mtafaruku, wakati Rais Joe Biden akiandaa sera zake kwa Wakorea.
Yafahamu mataifa ambayo yamesitisha kutoa chanjo ya AstraZeneca
Uholanzi imekuwa nchi ya hivi punde barani ulaya kusitisha matumizi ya chanjo ya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa madai kwamba ina madhara .
Matumizi ya Lugha
Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.
Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57
Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.